IJUE PEDI UNAYOITUMIA MADHARA YAKE NA UBORA WAKE

BAADA YA KUMALIZA KUSOMA MADA HII UTAKUWA UMEYAJUA YAFUATAYO
1. Sifa za pedi bora
2. Kwa nini pedi ya neplily ni bora kuliko zingine?
3. Udhaifu wa pedi zingine
4. Ijue pedi unayoitumia
5. Je ni lazima uathirike kama utatumia pedi zisizokuwa na Anion?
6. Faida za pedi za Neplily
7. Wapi utanunua Pedi za Neplily
8. Kwanini ni muhimu uwafundishe na wengine uzuri wa Neplily Pads.
KWA NINI PEDI ZA NEPLILY NI TOFAUTI NA PEDI ZINGINE?
Tofauti kubwa ya pedi ya neplily na pedi zingine ni uwezo wa pedi hizi wa kujitengenezea oxgen zenyewe. Oxgen ni hewa safi kwa ajili ya viumbe hai kutumia na kunawiri. Wadudu waharibifu katika uke ni wale wasioweza kuishi mahali ambapo kuna oxgen ya kutosha (anerobic) hivyo pedi za neplily zinavyounda oxygen inakuwa ndio mwisho wa maisha ya wadudu hao waharibifu. Hakikisha ukivaa pedi ya Neplily unarengesha ile sehemu yenye pundamili na uwazi wa uke. Hiyo sehemu yenye pundamili ikishagusana na mwili au maji basi huanza kuunda hewa safi ya oxygen ambayo huingia mwilini na kwenye uke na mji wa uzazi na kisha kuuwa wadudu wote waharibifu.
UDHAIFU WA PEDI ZINGINE AMBAZO HAZINA ANION.
1. Pedi hizo zina material ambayo sio rafiki wa afya ya binadamu mfano ni recycled materials kama karatasi za ofisini, plastics ana vumbi za mbao ndio hutumika kutengeneza pedi hizo.
2. Pedi hazipitishi hewa, hivyo joto lote linakaa ndani, ukichukua joto + unyevu nyevu wakati wa hedhi ni mbolea nzuri kwa bakteria na fangasi kuota na kumea.
3. Pedi zinafyonza kiasi kidogo na huku bado zinabaki na unyevu nyuvu na kukufanya muda wote huna amani maana unasikia vitu vinanyefuanyefua ukeni.
4. Zingine zinavujisha majimaji na damu na unakuta baadhi ya wamama wana-vi-alama kwenye nguo zao.
5. Pedi hazizuii harufu mbaya ya wakati wa hedhi au harufu ya uke wenye harufu mbaya.
IJUE PEDI UNAYOITUMIA MADHARA YAKE NA UBORA WAKE
Usiseme tu pedi ni mbaya au nzuri jiulize ni mbaya kwa sababu gani na nzuri kwa sababu gani ~ hapo utakuwa umeamua kisomi. Usiangalie bei kwanza angalia ubora wake kwanza. Huna haja ya kununua ugonjwa ambao utakugharimu mamilion kwa kuepusha pesa ambayo utaenda kuiepusha hata kwenye vitu ambavyo sio vya KUILINDA AFYA YAKO. Napenda nikwambie kuwa pedi nyingi zimetengenezwa kwa kuchukua mabaki ya karatasi, plastics na kemikali mbali-mbali zikapitishwa kwenye machine (RECYCLING) na hatimaye kupata material ya pedi unazotumia (chunguza kama utaweza). Ndugu yangu gundi inayotumika kugundishia pedi hizo kwenye nguo ya ndani ili ikae vizuri imetengenezwa kwa kutumia BENZENE.
Benzene kama jina lake lilivyo-baya inakufanyia mambo mabaya yafuatayo
 Inavuruga mzunguko wa hedhi
 Inakuletea maumivu,kichefu chefu yani kitaalamu (dysmenorhea)
• Pia inaweza,kusababisha kubleed kwa muda mrefu bila sababu yoyote tena ovyo ovyo (Polymetrohagia)
• Pia inasabisha kukosa kabisa hedhi bila hata sababu ya maana
MBONA NIMETUMIA PEDI ZISIZO NA ANIONI MIAKA YOTE NA BADO NIKO VIZURI?
Mara nyingi sana wakati nikifundisha somo hili watu huwa wanauliza swali hili – teacher sasa mimi sijawahi tumia pedi yenu lakini sina tatizo lolote mbona? Unaweza kuwa fit kwa kutumia pedi za kawaida ila wengine wengi wakaathirika, yote haya inategemea jinsi gani mwili wako unaitikia kwenye hii benzene. Kama upo sensitive utapata mdhara haraka na kama hauko sensitive utachelewa kupata madhara. Hi ni kwa sababu kila moja ya mwanamke ana genes tofauti na mwingine hivyo madhara pia yanakuwa tofauti, wachache wanakuwa salama kabisa. Kinga ni bora kuliko tiba.

JE MATUMIZI YA KITAMBAA KAMA MBADALA WA PEDI YANAFAA? Katika hali ya kawaida kitambaa kitakufaa lakini kama upo na hali isiyokuwa ya kawaida mfano una tokwa na damu nyingi, una uke mkavu, maumivi au hata hedhi mvurugiko nakadhalika sioni kitambaa kikikupa comfort ya kujiachia na kuwa huru sana. LAZIMA uwe msafi wa hali ya juu na uhifadhi vitambaa vyako mahali salama.
  Ila once ukipatwa na magonjwa sugu yatokanayo na utumiaji wa hewa chafu (maana huwezi kuwa na hewa yako peke yako), chakula ulichopika mwenyewe lakini kisichofaa, chakula kilicholimwa kwa kutumia mbegu za genetic na mambo kadha wa kadha yasiyozuilika na kupelekea wewe kupata magonjwa kama UTI, fangasi ukeni, muwasho na uvimbe basi jua ya kwamba NEPLILY PAD HAZIKWEPEKI..

UMUHIMU WA PEDI ZA NEPLILY UNATOKANA NA
 Imetengenezwa kwa pamba laini na ni nyepesi na nene
 Uwezo wake wa kufyonza maji au damu mkubwa mara 10 kuliko pedi za kawaida
 Ina Uwezo wa kupitisha hewa pande zote mbele na nyuma
 Ina Uwezo wa kujitengenezea Oxygen
• Oxygen hiyo ndio inayouwa wadudu wa bacteria na fangasi wabaya.
 Ina uwezo wa kuzuia na kutibu harufu mbaya itokayo ukeni
 Ina uwezo wa kutibu ugumba, inafungua miraji iliyozibika
 Ina uwezo wa kurekebisha Homoni
 Ina uwezo wa kuweka PH ya uke sawa
 Ina uwezo wa kuzuia maji kuingia mfano ukiwa swimming pool
 Inarekebisha uzazi baada ya kujifungua
 Zinatibu bawasiri kwa wamama na wababa
 Zinatibu fangasi za miguuni kwa wote wababa na wamama
 Matatizo ya kuumwa kichwa au stress au tumbo kwa wamama
 Inarekebisha matatizo ya hedhi na kumwa kiuno wakati wa tendo la ndoa


Comments